Matonya kuachia albam mpya mwezi huu

0
253

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Matonya ametangaza tarehe rasmi ya kuachia album yake mpya ambayo ni Juni 26, 2020 na mpaka sasa imefikia asilimia 80 ya mapishi yake.

Album hiyo inaitwa “Makinika” na ina jumla ya nyimbo ishirini ambapo collabo yake na G Nako ni miongoni mwa Hits zinazopatikana humo.

Album hii itapatikana Boomplay na katika platform nyingine za uuzwaji wa muziki ili kuwawezesha mashabiki wake kuipata albam yake hiyo.

na anaitaja kama ni miongoni mwa album ambayo alipata ushawishi wa kuifanya baada ya kusikiliza baadhi ya ngoma kutoka kwenye album ya G Nako na ambayo inaelezwa kukamilika kwa asilimia 100.

LEAVE A REPLY