Matokeo PL: Man City na Arsenal zangara Man United hoi

0
183

Mechi za ligi kuu nchini Uingereza leo zimeendelea tena kwa michezo saba katika viwanja tofauti na jumla ya magoli 14 yamefungwa katika mechi za mapema,.

Matokeo kama ifutavyo

Sunderland 1 Arsenal 4

Man Utd 0 Burnley 0

Middlesbrough 2 Bournemouth 0

Tottenham 1 Leicester 1

Watford 1 Hull 0

West Brom 0 Man City 4

Mechi ya Liverpool inaendelea hivi sasa na matokeo bado 0-0 kaa na tovuti hii kupata matokeo hayo.

 

LEAVE A REPLY