Mary J Blige apewa tuzo ya Hollywood Walk of Fame

0
89

Mwanamuziki maarufu wa RnB nchini Marekani, Mary J Blige amepewa nyota yake kwenye Hollywood Walk of Fame.

Malkia huyo wa Hip-Hop Soul amesheherekea siku hio muhimu akiwa na wasanii walioanza naye safari yake ya muziki kama Diddy, Tyrese, Andre Harrell na mtangazaji Angie Martinez,

Puff Daddy anasema hii ni siku muhimu kwa malkia wetu,leo siku ya dada yetu kupewa nyota yake Hollywood, kutambuliwa inavyotakiwa, tumepitia mambo mengi sana”

Mary J. Blige naye amesema anafuraha kuipata nyota hio ambayo angetakiw kuipata zaidi ya mara tatu sasa kwa mafanikio na mambo makubwa aliyofanya kwenye muziki Marekani na nje.

LEAVE A REPLY