Mariah Carey achoma moto gauni lake la harusi

0
238

Staa wa Pop nchini Marekani, Mariah Carey amechoma gauni lake la harusi aliyotaka kufunga na bilionea James Packer kwenye video yake ya ‘I Don’t‘ baada ya kuachana.

Gauni hilO lina thamani ya dola  $250,000 Tsh 561475000.00 ambapo limebuniwa na  mbunifu wa mavazi maarufu Valentino na alipanga kuliva kwenye harusi yake iliyotakiwa kufanyika Bora Bora Nuptials.

moto

Mariah anaonekana akijaribisha gauni hilo kwenye show ya maisha yake ya Mariah’S World siku chache kabla ya kuachana na James Packer.

Mwanamuziki huyo ameamua kufanya hivyo baada ya kugombana na mpenzi wake ambaye alitarajia kufunga nae ndoa.

LEAVE A REPLY