Maneno ya Sir Nature yalivyomuumbua TID a.k.a Mnyama

1
969

Unakumbuka staa wa zamani wa TMK, Juma Nature a.k.a Sir Nature aliwahi kusema kuwa Mnyama TID anatumia dawa za kulevya?

Unakumbuka Nature aliwahi kumuuisia swahiba wake KR Mullah asijiunge na lebo ya Radar Entertainment iliyo chini ya TID?

Kwa muda mrefu watu walikuwa wakitaka kujua ukweli iwapo Khaleed Salum Mohamed a.k.a TID ni kweli anatumia dawa za kulevya au ni chuki za watu tu hususani Juma Nature? LAKINI…

Hii leo, TID a.k.a Mnyama ameliweka hilo wazi mbele ya hadhara ya watu, TID ni ‘muathirika wa dawa za kulevya’.

Hebu tazama namna maneo ya juma Nature yalivyothibitishwa na TIAD mwenyewe.

Video kwa hisani ya BongoStars.

1 COMMENT

Leave a Reply to edrick Cancel reply