Maneno ya Nape baada ya watu kuvamia mkutano wa CUF

0
269

Baada ya Chama cha wananchi (CUF) kuvamiwa katika mkutano wake maeneo ya Manzese Jijini Dare es Salaam, mbunge wa Mtama Nape Nnauye ametoa ya moyoni kuhusu sakata hilo.

Katika mkutano huo walijitokeza watu wasiojulikana na silaa na kuwapiga viongozi na wanachama wa chama hicho pamoja na waandishi wa habari.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Nape ameandika yafuatayo kuhusu sakalata hilo.

nnuaye

LEAVE A REPLY