Maneno ya Marioo kwa Lulu Diva

0
99

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Marioo amesema kuwa ukimtoa Whozu staa mwingine ambaye anafuatia kwa kuumizwa na kuonewa kwenye mapenzi ni Lulu Diva.

Marioo amefahamisha hivyo baada ya kupata bahati ya kuonana na Lulu Diva ambaye amemuuliza kwanini  ameandika wimbo ambao baadhi ya vitu vinamuhusu yeye.

Amesema kuwa Lulu Diva ni moja kati ya mastaa ambao washawahi kuumizwa au kuonewa katika mapenzi tukiachana na Whozu.

Kwa sasa Whozu yupo kwenye mahusiano na video vixen Tunda, na Lulu Diva bado hajaweka mahusiano yake wazi japo awali aliwahi kuhusishwa kuwa na TID, Rich Mavoko na Jaguar.

LEAVE A REPLY