Mama Hamisa akanusha mwanawe kupigwa na mama Diamond

0
178

Mama mzazi wa mwanandada Hamisa Mobeto amekanusha kabisa tetesi za mtoto wake kupigwa na mama mzazi wa Diamond Platnumz, Bi. Sandra.

Mama Mobeto amesema kuwa anajua kuwa Hamisa hajapigwa na mama diamond lakini pia hatokaa aamini swala hilo kwa sababu Hamisa ni mtu mzima sasa hawezi kuruhusu hayo yatokee.

Habari zilienea kuwa Hamisa na Diamond wenda wakawa mwamerudia kutokana na ukweli kwamba wawili hawa wameonekankuwa karibu sana sasa hivi katika sehemu nyingi na sehemu nyingine wamekuwa wakishindwa kujificha kabisa.

Hata hivyo inasemekana kuwa hamisa ambehamia nyumbani kwa Diamond ambapo mama mzazi wa Diamond alikwenda nyumbani hapo na kumkuta Hamisa na kisha kumpa kipondo huku akiseam kuwa kamwe hataki kusikia wala kuona ukaribu wao na kwamba hataki hamisa kuolewa na mtoto wake huyo wa pekee wa kiume.

Baada ya kusambaa kwa taarifa hizo Mama Diamond alithibitisha kuwa mempa kipigo Hamisa ingawa Hamisa alisema hakuna kitu kama icho.

LEAVE A REPLY