Makundi ya kombe la dunia nchini Urusi

0
283

Shirikisho la soka duniani (FIFA) limepanga makundi ya kombe la duniani litakalofanyika mwakani nchini Urusi.

Upangaji wa makundi hayo umeafanyika jana nchini Urusi ambapo jumla ya makundu manane yamepanga kwenye droo hiyo.

Makundi yapo kama ifuatavyo

FIFA WORLD CUP 2018 Draw

Group A: Urusi, Saudi Arabia, Misri, Uruguay

Group B: Ureno, Hispania, Morocco, Iran

Group C: France, Australia, Peru, Denmark

Group D: Argentina, Iceland, Croatia, Nigeria

Group E: Brazil, Switzerland, Costa Rica, Serbia

Group F: Ujerumani, Mexico, Sweden, Korea Kusini

Group G: Ubelgiji, Panama, Tunisia, England

Group H: Poland, Senegal, Colombia, Japan

LEAVE A REPLY