Mabeste & Lisa ‘just married’

0
419

Staa wa series ya ISHI KISTAA na mmoja wa marapa bora Tanzania, Mabeste na mpenzi wake wa muda mrefu ambaye pia ni mama wa mtoto wao ‘Kendrick’ Lisa Fickenscher wamefunga ndoa.

Lisa ambaye pia aliwahi kuwa mtangazaji na muongozaji wa shoo hiyo ya ISHI KISTAA, alikuwa kwenye uhusiano na Mabeste kwa zaidi ya miaka mitatu.

Hizi ni baadhi ya picha za siku ya harusi yao.

mabeste3

mabeste2

mabeste1

mabeste

LEAVE A REPLY