Lulu Diva aweka wazi aina ya mwanaume anayempenda

0
110

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Lulu Diva amefunguka na kusema huwa anamtambua mwanaume aliyekuwa naye kwenye mahusiano kama sio mtu sahihi kwake, pale ambapo atashindwa kumpa pesa za matumizi.

Lulu Diva ameweka wazi hilo kwa kusema hawezi kuwa na mwanaume ambaye hampi pesa au hamsaidii kwenye maisha na kumuhudumia.

Mwanamuziki huyo amesema kuwa “Hata ndani ya siku mbili tu nitamtambua kama sio sahihi, endapo atakuwa hanipi pesa, nitajua kwamba huyu sio mtu sahihi kwangu”.

Ameongeza kwa kusema kuwa “lazima mwanaume aje na pesa nitakuwa naye vipi kama hana au hanisapoti kwenye maisha na kunihudumia kama mtoto wa kike, kama ana mapenzi ya kweli halafu pesa hana abaki nayo mwenyewe hayo mapenzi “.

Pia amesema kuwa Lakini pia nikikuona muongo, sio muamifu, nikiona akili zako  hazijakomaa hatuwezi kuwa pamoja,  bora hata awe anamtambua Mungu, busara,hekima kitakuwa kitu kizuri sana, bora ninyimwe vitu vyote ila nisinyimwe hekima” ameongeza.

Kwa sasa Lulu Diva yupo karibu sana na msanii TID, hali ambayo inashangaza wengi kuhisi kama wapo kwenye mahusia

LEAVE A REPLY