Lulu Diva afunguka mahusiano yake na Rich Mavoko

0
1003

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Lulu Diva amefunguka na kusema kuwa ameamua kuwa karibu na Rich Mavoko kwasababu ni mwanaume anayejielewa.

Lulu Diva ameamua kufunguka hayo na kutoa sabau kubwa ya yeye kuwa karibu na kuwa na mhausino na Rich Mavoko kama ilivyokuwa ikisemwa tangu hapo awali lakini walikuwa wakikana swala hilo.

Lulu diva aafunguka na kusema kuwa kwa sababu Rich Mavoko ni tofauti na wanaume wengine na ndio maana yuko nae.

Kwa  muda mrefu wasanii hao wawili walikuwa katika mahusiano na walikuwa wakihisiwa kuwa katika ukaribu huo lakini wamekuwa wakikanusha taarifa hizo.

LEAVE A REPLY