Lulu apigwa kibuti na Majizo

0
1244

Muigizaji nyota wa Bongo Movie, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amepigwa kibuti na mpenzi wake mkurugenzi wa EFM, DJ Majizo.

Majizo ambaye hapo awali alikuwa akitoka kimapenzi na mwanamitindo Hamisa Mobetto ambaye wana mtoto mmoja.

DJ Majizo ni mmiliki wa kituo cha Radio cha EFM alianza mahusiano na Lulu baada ya kuachana na Hamisa Mobeto.

Taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zinasema kuwa chanzo cha kuachana kwa wapenzi hao ni kutokana na Lulu kumroga Majizo.

Kuna sauti ambayo inasambaa katika mitandao ya kijamii ikielezea ubuyu mzima kuhusu Lulu kuachwa na mwanaume huyo na kusemekana kwamba mwanaume huyo amerudi kwa mwanamke wake wa zamani.

LEAVE A REPLY