Lulu afunguka sababu ya soko la filamu kuanguka nchini

0
367

Muigizaji wa Bongo Movie, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka sababu zilizopelekea kushuka kwa soko la filamu nchini.

Lulu ambaye amenza kuigiza akiwa na umri mdogo amedai kuwa wasanii wengi wamekuwa wanafuata upepo katika sanaa kwa kuona mtu mmoja amefanikiwa na wengine wanaiga wakidhani kuwa watafanikiwa kama wenzao.

Muigizaji huyo ameenda mbali kwa kusema kuwa kuna sehemu moja walikuwa wanaitazamia, unajua kuna kitu kinatokea kama upepo ukiona mtu kafanikiwa kwa kitu fulani wote tunataka kwenda kwenye muelekeo ule ule.

Mwisho muigizaji huyo amesema kuwa “Kuna mtu mmoja alifanikiwa sehemu mmoja na sisi wote tukawa tunataka kukopi vile vile.

LEAVE A REPLY