Liverpool yakaribia kumnasa Ragnar Klavan

0
328

Klabu ya Liverpool inakaribia kumsaini beki wa kati, Ragnar Klavan kutoka timu ya Augsburg inayoshiriki ligi kuu nchini Ujerumani ‘Bundersliga’.

Klabu hiyo inatarajia kulipa kiasi cha paundi milioni 4.2 kwa naodha huyo wa Estonia aliyecheza mechi zote mbili kwenye michuano ya Europa ligi dhidi ya Liverpool msimu uliopita.

Klopp anataka kumsajiri beki huyo ili kuziba pengo lililopo baada ya kuachwa kwa beki Kolo Toure pamoja na kuumia kwa beki wake Mamadou Sakho.

LEAVE A REPLY