Linah na Amini wadaiwa kurudiana

0
89

Mwanamuziki wa wa Bongo Fleva, Linah na msanii mwenzake Amini wamedaiwa kurudisha penzi lao kama zamani baada ya kuwa wameachana kwa muda mrefu.

Amini na Linah wamerudi kwenye headlines na sasa kuna tetesi kuwa wamerudiana huku tetesi hizo ziiibuka Baada ya Linah kuonekana  kuwa karibu na muimbaji huyo.

Lonah ambaye ni mama wa Mtoto mmoja aliyezaa na aliyekuwa Mpenzi Wake Shabani Mchomvu ambaye amekiri kuwa wameachana kwa miezi karibuni tisa na kudai yuko single.

Amini alifunguka na kuzungumzia  tetesi hizo za kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake ambapo amesema hakuna kitu kama hiko zaidi ya ukaribu wao wa toka zamani.

Wawili hao walikuwa wapenzi ambapo kwasasa wameachana na kila mtu kuanzisha mahusiano mengine huku Linah akizaa mtoto na mwanaume mwingine.

LEAVE A REPLY