Linah agoma kuolewa

0
35

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Linah Sanga amefunguka na kusema kuwa kwasasa wala haitamani kabisa ndoa kwa sasa anataka kufanya mambo mengine kwanza na kupumzika sana.

Linah anayasema hayo ikiwa ni miezi kadhaa tu imepita tanfu alipoweka hadharani kuwa ameachana na baba wa mtoto wake ambae pia alikuwa ni meneja wake kwenye kazi zake.

Amesema kuwaNaatamani sana kupata mwanaume mwenye mapenzi, matunzo na mwenye kujali sana, sitamani hata kuolew akwa sasa nataka nitulie tu kwanza.

Linaha aliwahi kuwa katika mahusiano ambayo alitangaza kuwa yeye na mwanaume huo watafunga ndoa pamoja na kwamba walikuwa na dini tofauti kwa sababu ni baba wa mtoto wake lakini ghafal alikuja na kutangaza kuwa hawapo pamoja tena.

LEAVE A REPLY