Kwa Ngwaru ya Harmonize yakimbiza chati za BBC Radio

0
159

Wimbo mpya wa Harmonize ‘Kwa Ngwaru’ umeshika namba 2 kwenye Top 5 za Afro Boss Airline DNA  za kipindi cha Destination Africa kupitia BBC Radio One Xtra.

Wimbo huo umefanikiwa kushika namba mbili kwenye chati hizo wakati namba moja ikishikiliwa na Davido kupitia wimbo wake mpya wa Assurance.

Wasanii wengine walioingia kwenye chati hizo ni Shado Chris (Kitadi), Bils na Giggz (Loudah) na Da Capo (Take It All).

Hayo ni mafanikio makubwa kwa msanii huyo kuokana na ubora wa kazi zake kwasasa ambapo kwenye wimbo huo amemshirikisha boss wake Diamond Platnumz.

Mbali wimbo huo kuwa mpya pia mkali huyo ameachia wibmo mwingine mpya unaoitwa ‘DM Chick’ aliomshirikisha mwanamuziki kutoka nchini Ghana, Sarkodie.

LEAVE A REPLY