Kwa hili Diamond Platnumz anastahili kupigiwa makofi

1
1409

Diamond Platnumz leo ameandika historia nyingine kupitia wimbo wake mpya wa Salome ambao ni remix ya ‘Maria Salome’.

Diamond Platnumz ametimiza ‘views milioni 3 ndani ya wiki 1 tu’ ‘mpigie makofi tafadhali.

Hebu icheki ngoma hiyo ya SALOME

1 COMMENT

LEAVE A REPLY