Kutana na Dk. Kuluthum ili kufahamu nyota yako

0
65

Dk. Kuluthum alianza kuhudhuria mafunzo ya masuala ya nyota katika darasa la aliyekuwa mnajimu mkuu wa Afrika Mashariki na Kati marehemu Sheikh Yahaya Hussein magomeni jijini Dar es Salaam.

Baada ya kuhitimu mafunzo hayo Dk. Love alianza rasmi amenza shughuli za unajimu akifanyia shughulia zake wilayani Temeke jijini Dar es Salaam.

Pia Dk. Kuluthum aliwahi kufanya kazi na kuchambua nyota katika vituo mbali vya radio nchini kama vile Magic FM, East Africa Radio pamoja na Times FM.

Mpaka sasa anajishughulisha na kazi ya unajimu wa nyota nchini akifanya kazi na kampuni ya Green Telecom Limited.

Usikofe kumfuatilia kupitia Yuotube katika akaunti ya @Utabili wa Nyota na Dk. Kuluthum ili kujua nyota yako ni ipi na kujua vitu gani utakiwi kufanya kulingana na nyota yako.

LEAVE A REPLY