Kisa cha Mimi Mars kuwa single

0
141

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Mimi Mars amefunguka na kuweka wazi kuwa hakuna kitu kinachompa furaha kama kuwa single kwa sababu yupo huru kufanya kazi zake vizuri.

Mimi Mars amesema, aliamua kuishi peke yake bila mwanaume kwa sababu ameshawahi kuumizwa na aliokuwa akiwapenda hivyo kumfanya kuwa mpweke na kushindwa kufanya kazi zake vizuri.

Niliishia kuambulia maumivu tu kutokana na kuwa na wanaume wasiokuwa waaminifu, nikaona hapana, kwa nini niendelee kuteseka wakati kuna maisha baada ya mapenzi.

Mimi Mars ameshawahi kutajwa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Staa wa muziki wa hip hop nchini Kutokea katika Kundi la Weusi Joh Makini.

LEAVE A REPLY