Vikosi vya Simba na Yanga leo uwanja wa Uhuru

0
524

Yanga leo inashuka dimbani dhidi ya Simba kwenye mechi ya ligi kuu Tanzania Bara itakayofanyika katika uwanja wa Uhuru.

Klabu hiyo imetoa kikosi kamili kitakachoikabili Simba ambapo itakuwa mechi ya kwanza msimu huu timu hizo kukutana.

Kikosi kamili

1. Youthe Rostand

2.Juma Abdul

3.Gadiel Michael

4.Andrew Vicent

5.Kevin Yondan (c)

6.Papii Tshishimbi

7.Pius Buswita

8.Raphael Daud

9.Obrey Chirwa

10.Ibrahim Ajib

11.Geofrey Mwashuiya

Kikosi cha akiba

1.Beno Kakolanya

2.Hassan Kessy

3.Haji Mwinyi

4.Nadir Canavaro

5.Pato Ngonyani

6.Yusuf Mhilu

7.Emmanuel Martin

Kikosi cha Simba

1.Aishi Manula

2.Erasto Nyoni

3.Mohamed Hussein

4.Method Mwanjali (C)

5.Juko Mrshid

6.James Kotei

7.Shiza Kichuya

8.Mzamiru Yassin

9.Laudit Mavugo

10.Haruna Niyonzima

11. Emannuel Okwi

Wachezaji wa akiba

1.Emannuel Msheja

2.Ally Shomary

3. Said Ndemla

4. Mwinyi Kazimoto

5.Jonas Mkude

6.John Bocco

7.Nicholous Gyan

LEAVE A REPLY