Kikosi cha Yanga dhidi ya Njombe Mji leo

0
349

Klabu ya soka ya Yanga leo inashuka dimbani dhidi ya Njombe Mji kwenye mechi ya ligi soka Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Yanga imeweka wazi wachezaji wake watakaonza kwenye mechi hiyo itakayoanza majira ya saa 10 jioni.

Kikosi kamili

1-Ramadhani Kabwili

2-Hassan Kessy

3-Gadiel Michael

4-Said Juma Makapu

5-Kelvin Yondani

6-Maka Edward

7-Raphael Daudi

8-Papy Tshishimbi

9-Obrey Chirwa

10-Pius Buswita

11-Emmanuel Martin

SUBs

-Benno Kakolanya

-Yusuph Mhilu

-Said Musa Bakari

-Baruan Akilimali

-Juma Mahadhi

-Matheo Antony

LEAVE A REPLY