Kesi ya Wema Sepetu kutolewa hukumu Ijumaa

0
1866

Hukumu ya Kesi inayomkabili Muigizaji wa filamu, Wema Sepetu ya kutumia madawa ya kulevya yasogeswa mbele hadi Ijumaa ya wiki hii.

Akizungumza mapema asubuhi ya leo Jumatatu Julai 16, 2018 Wema Sepetu amedai kuwa Hakimu kuna vitu bado anavifanyia uchunguzi zaidi ili hukumu iweze kutolewa.

Wema amesema kuwa anasubili maamuzi ya mahakama kutokana na kesi hiyo inayomkabili muigizaji huyo wa Bongo Movie.

Wema Sepetu na wafanyakazi wake wawili mnamo tarehe 23 Aprili 2018 walikutwa na kesi ya kujibu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana kukabiliwa na kesi ya kutumia Madawa za kulevya.

LEAVE A REPLY