Kauli hii ‘KUWASAMBARATISHA’ Diamond Platnumz na Zari?

0
2431

Baada ya kukamilisha ununuzi wa nyumba ya kuishi nchini Afrika Kusini, Diamond Platnumz ameandika ujumbe maalum kwa mpenzi wake, Zari a.k.a The Boss Lady.

Soma ujumbe huo

‘Wanakazana kujisifu Matajiri Ilhali WATOTO ZAO WANAISHI KWENYE NYUMBA ZAKUPANGA… halafu leo YULEYULE WANAYEMTUKANA KUTWA KWENYE MITANDAO kuwa Masikini, kajawa na shida, KANUNUA NYUMBA KULEKULE KWAO ILI WATOTO WAO WAISHI MAISHA BORA KAMA WANAYOYATAMANI… Heri ya siku ya Kuzaliwa Mama tee wangu…. Nakupenda sana na unalifahamu hilo…natumai umeipenda Nyumba yetu hii mpya South Africa,” aliandika Diamond kwenye picha hiyo.

Diamond amesahau kuwa watoto wa Ivan ni watoto wa Zari?

Je, Zari alikuwa anaishi kwenye nyumba ya nani kabla ya Diamond kununua nyumba Afrika Kusini?

LEAVE A REPLY