Jay Dee kuzindua album mpya Februari 2021

0
21

Msanii mkongwe wa muziki nchini Tanzania, Lady Jay Dee ametangaza kuzindua rasmi Album yake mpya iitwayo ’20’ ifikapo Februari 12, 2021 baada ya kukamilika.

Jide hapo awali alipanga kuzindua album hiyo Decemba 5 mwaka na ameamua Kusogeza Mbele tarehe ya uzinduzi huo Kutokana na sababu mbalimbali.

Kuelekea uzinduzi wa album yake huyo, Lady Jay Dee ametoa Orodha ya Watayarishaji wa Muziki (Producers) Waliohusika kuandaa nyimbo kwenye Album hiyo ambapo wanafika jumla ya producer sita.

Lady Jay Dee amewataka mashabiki wake kuwa tayari kwa kuipokea albam hiyo baada ya kuisubili kwa muda mrefu licha ya kusogezwa mbele kwa tarehe ya awali.

LEAVE A REPLY