Jackline Wolper amtolea povu zito Harmonize kisa mpenzi wake mpya

0
696

Muigizaji nyota wa Bongo Movie, Jackline Wolper amemtolea povu zito mpenzi wake wa zamani Harmonize kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya Harmonize kumuongelea muigizaji huyo.

Wolper ambaye kwasasa yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake mpya anayekwenda kwa jina la Brown amefunguka mambo mengi kuhusu mpenzi wake huyo wa zamani ambaye kwasasa yupo kwenye mahusiano na mwanamke mwingine.

Soma posti aliyoandika Jackline Wolper hapo chini.

povu

LEAVE A REPLY