Irene wa video ya kwetu ya Rayvany adai hamjui Hamisa Mobetto

0
361

Video Vixen Bongo aitwae Irene ambaye aliwahi kuonekana kwenye video ya Kwetu ya Rayvanny amefunguka na kusema kuwa hamjui kabisa Hamissa Mobeto.

Irene amesema kuwa hamjui wala hajui kama hamisa ana ukaribu na Diamond kama ambavyo hamisa amekuwa akijinadi huko mitandaoni.

Irene aliwahi kusikika akiwa na mapenzi na Diamond na kusemekana kuwa aliwahi kupata mpaka ujauzito wake lakini pia inawezekana maneno ya Lynn yanakuja kutokana na ukweli kwamba anamchukia hamisa kutokana na kwamba walishawahi kutembea kimapenzi na bwana mmoja.

Ukiacha na mahusiano ya kimapenzi tu kati ya Hamisa na Diamond lakini wawili hao walishabahatika kupata mtoto mmoja wa kiume.

LEAVE A REPLY