Idris Sultan ‘Wabongo wanapenda kujua mambo binafsi ya watu’

1
470

Staa wa stand up comedy kutoka Bongo ambaye pia aliwahi kuwa mshindi wa mashindano ya Big Brother, Idris Sultan ameweka wazi kuwa hulka na tabia ya watanzania ya kupenda kujua mastaa wa kibongo wanapata kiasi gani cha fedha wanaposaini mikataba ya kazi.

Staa huyo amedai kuwa baada ya wabongo kufuatilia sana mkwanja alioupata baada ya kushinda BBA ili kutaka kufahamu kila senti namna ilivyotumika kumemfanya ajifunze jambo kubwa.

Mtazame anavyolalamika.

Video kwa hisani ya Bongo5

1 COMMENT

LEAVE A REPLY