HISTORIA: La La Land yakusanya tuzo zote kwenye vipengele ilikotajwa

0
1107

Filamu mpya ya La La Land imefanikiwa kushinda tuzo saba kutoka kwenye vipengele saba ilivyotajwa kugombea kwenye tuzo za Golden Globe Awards’.

Tuzo hizo ni pamoja na ‘best musical au comedy film’.

Pia mastaa wake Ryan Gosling na Emma Stone wakishinda tuzo za waigizaji bora.

Sambamba na tuzo hizo pia imefanikiwa kushinda tuzo za ‘Best director, screenplay, score and song.

Ushindi huo umekuwa ishara njema ya kuelekea kwenye tuzo za Oscar.

LEAVE A REPLY