Hiki hapa kikosi cha Simba dhidi ya Mwadui

0
350

Klabu ya Simba leo itashuka dimbani dhidi ya Mwadui kwenye mechi ya ligi kuu soka Tanzania Bara katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga.

Kikosi kamili cha Simba kitakuwa

  1. Aishi Manula
  2. Shomari Kapombe

3.Mohamed Huseen

4.Yusuf Milipili

5.Juko Mrshid

6.Erasto Nyoni

7.James Kote

8.Said Ndemla

  1. John Bocco
  2. Emmanuel Okwi
  3. Shiza Kichuya

 

LEAVE A REPLY