Hiki hapa kikosi cha Simba dhidi ya Azam leo

0
712

Klabu ya Simba leo inashuka dimbani dhidi ya Azam Fc kwenye mechi ya ligi kuu Tanzania Bara kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Simba inayoongoza ligi hiyo kwa jumla ya alama 38 nyuma ya wapinzani wao wa jadi timu ya Yanga yenye alama 34 huku Azam ikiwa ya tatu ikiwa na alama 33.

Mchezo huo utakuwa wa muhimu kwa pande zote mbili kutokana na kuachana alama chache na kila mmoja akiwa na hamu ya kutwaa ubingwa huo.

Kikosi cha Simba leo

1. Aishi Manula

2. Erasto Nyoni

3.Yusufu Mlipili

4. James Kotei

5. Shomari Kapmbe

6. Asante Kwasi

7. Shiza Kichuya

8.Said Ndemla

9. Emmanuel Okwi

10. John Bocco

11. Jonas Mkude

LEAVE A REPLY