Harmonize atimiza ndoto ya kufanya ngoma na Lady Jay Dee

0
413

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize ameweka wazi kuwa ilikuwa ni ndoto yake kufanya kolabo na mkongwe wa muziki nchini Tanzania Lady Jay Dee.

Harmonize na Lady Jay Dee wamekutana kwenye kolabo ya wimbo wa Wife iliyopo kwenye Album ya Afro East ya Harmonize.

Harmonize ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram “Ilikuwa Ndoto Yangu Ya Siku Nyingi Kufanya Kazi na Dada Yangu Kipenzi Lady Jay Dee Trust me I’m Big Fan of Her .

Pia ameendelea kuandika Nimeanza Kumsikia Na Kumuona Tangu Nikiwa Mtoto Finally Dream come true Brand New Wife Ft  Jay Dee.

Pia amesema kuwa Now WORLDWIDE Link on My Bio Music by Hunternation Enjoy Dat Hanscana Location Arusha Tanzania Nahivi Harusi Zishafunguliwa Uwiiii! Sijuwi Itakuwaje Wedding Anthem Song Number ( 8) on Afroeast 2020.

LEAVE A REPLY