Harmonize atangaza tarehe ya kuachia wimbo aliyomshirikisha Anjella

0
15

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize ametangaza tarehe rasmi ya kuachia wimbo wake mpya aliomshirikisha mwanamuziki chipukizi wa kike aitwae Anjella.

 

Harmonize baada ya kuukubali uwezo wa mwanamuziki huyo alifuata utaratibu na alikutana nae na kufanikiwa kuingia nae studio kurekodi nyimbo ambayo itatoka tarehe 20/1/ 2021.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Harmonize amepost kipande cha video cha Angella akiwa anaimba na Live Band na kuandika “Thank You Queen Anjella, You did Good job Last Night Nitafurahi Sana Kuwa Part Ndogo Ya Safari Yako.

 

Pia ameendelea kuandika kuwa Siku Zote Mungu Anakuwaga Na Makusudi Yake its Your Time Now Yooo Nahitaji DESIGNER Mkali Ambae Anaweza Fanya Kuanzia Nguo & Nywele Lakini Pia Nahitaji OFFICIAL Makeup artist Queen Anjella She is ready 4 First photo shoot.

Harmonize aliumona mwanamuziki huyo kupitia video zake ambazo alikuwa anaziposti Instagram akiwa anaimba cover za wasanii mbali mbali wa Bongo Fleva.

LEAVE A REPLY