Harmonize akanusha kurudiana na Wolper

0
81

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amekanusha kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake muigizaji wa Bongo Movie, Jacqueline Uwoya licha ya ukaribu wao kwasasa.

Harmonize amekana tetesi za kurejeana na Jackline Wolper kuwa wako katika mahusiano ya kiampenzi kama inavyovuma kwa sasa katika mitandao ya kijamii.

Harmonize amesema kuwa kitendo cha kumpandisha jukwaani haimaanishi kuwa wao ni wapenzi bali wamekuwa marafiki na kuacha tofauti zao kando kuanzia walipoamua kufanya hivyo.

Harmonize na Wpler waliwahi mahusiano ya uda mrefu na hata kutangaza ndoa lakini baadae walikuja kuachana kwa kutukananana sana katka mitandao ya kijamii wakati huo kila mmoja alikuwa tayari na mahusiano na mtu mwingine.

LEAVE A REPLY