Harmonize ahairisha Tamasha la Night Canival

0
86

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize ametangaza kuhairishwa kwa tamasha la muziki la Harmo Night Carnival lilokuwa likitarajiwa kufanyika 28/11/2020.

Kupitia ukurasa wake wa instagram, msanii na CEO wa lebo ya Konde Gang Harmonize ametangaza sehemu nyingine ya kwenda kufanyia show yake tarehe 28/11/2020 baada ya tamasha lake al;ilodai litachukua siku tatu la Harmo Night Carnival kuahirishwa.

I DREAMT SOMETHING BIG ON THIS DATE 28/11/2020 AND TRUST ME THE ENERGY STILL THERE …!!! THE GOOD THING IS IM GOING HOME. NALIHAMISHIA HILI VIBE NYUMBANI MTWARA.

HII TAREHE NILI KAA CHINI NIKAIOMBEA NIKA MWAMBIA M/MUNGU NATAKA KUFANYA KITU KIKUBWA KWENYE MUZIKI WANGU NAAMINI MAOMBI YANGU AMEYASIKIA I’M COMING HOME I LOVE YOU Sayona FOR MAKING THIS FREE EVENT ILA UWANJA HAUTO TOSHA.

LEAVE A REPLY