Harmonize agoma kufunga ndoa kwasasa

0
171

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye na mpenzi wake Sarah wanahitaji kujirusha sana kbala ya kufikia maamuzi ya kutoa kufunga ndoa.

Harmonize amefunguka hayo baada ya kuulizwa kuwa amekuwa akionekana na mwanadada huyo ambae ni mpzenzi wake kwa siku nyingi na hata mwanadada huyo kuzushiwa kuwa tayari n mjamzito.

Harmonize anasema kuwa maisha ya ndoa yapo lakini so kwa sasa mapka 2025, lakini sio sasa hivi hivyo kwa sasa wanashughulika na kula stareh kwanza.

Hata hivyo msanii huyo anasema kuwa muda wa ndoa utakapofika watafunga noda tena wanahitaji kuwa na watoto wawili.

LEAVE A REPLY