Harmonize abadilisha tarehe ya show yake

0
359

Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize ameutaarifu umma juu ya kusogeza mbele tamasha lake lililotarajiwa kufanyika tarehe 9 wiki hii mkoani Shinyanga

Na Badala yake tamasha hilo litafanyika tarehe 14/12/2019 katika uwanja wa Kambarange mkoani Shinyanga.

Alichokiandika Harmonize ‘Kutokana Na demand ya UNOLIVE kuwa Kubwa hatutofanya Shinyanga peke yake siku ya tarehe 9/11/2019 Kama tulivyokuwa tumepanga mwanzo.

‘Bali tumepeleka mbele mpaka tarehe 14/12/2019 Shinyanga uwanja wa kambarange kisha tutafumua Kahama & Mwanza Week Hiyo hiyo Moja soon nawapa tarehe wanangu wa Kahama’.

‘Kwahiyo Mwambie Mwenzio Kua Oda Toka Jeshini Inasema Jeshi Hatohudhuria Tarehe 9/11/2019 Zichange Tukutane Tarehe 14/ Shinyanga Kahama.

LEAVE A REPLY