HADI SASA: Diamond Platnumz ‘amfunika’ Ali Kiba kwa tuzo 2016

0
4808

NI wazi kuwa mastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Ali Kiba ndio walioongoza kwenye vinywa na akili za waandishi wengi wa habari mwaka 2016.

Lakini je, licha ya kutajwa na kuzungumziwa sana na mashabiki kwa mwaka 2016, ni nani kati yao ambaye hadi LEO hii ameshinda tuzo nyingi zaidi kwa kipindi cha mwaka mmoja? Hii ni orodha ya tuzo walizoshinda:

Ali Kiba

Tuzo                                                                IDADI              Kipengele

Abryanz Style Fashion (ASFA2016)                     2             Most Stylish Artiste East Africa Male

Most Fashionable Music Video Africa Award

The Nollywood & African Film Critics (NAFCA)    2

MTV EMA                                                                                Best African Act 2016

 

 

DIAMOND PLATNUMZ

TUZO                            IDADI              KIPENGELE

Afrimma