Gigy Monoy hawatahadhirisha mapromota

0
117

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Gigy Money ameamua kuyatoa ya moyoni kuhusiana na mapromota na kusisitiza kuwa kwa sasa yeye sio mwanamuziki underground na hastahili kulipwa shillingi milioni moja kwa ajili ya kufanya tamasha sehemu fulani.

Gigy Money amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema kuwa anastahili kizuri zaidi kwani show yake ya mwisho alilipwa hela nzuri na inabidi watu wafahamu kuwa kwa sasa yeye ni mama na vitu vinatakiwa kufanywa kitaaluma zaidi.

“Kuna Watu Wengine mkoje Sijuii Kwani ukinitangazia nakataa Show yani ndio sitofanya Show Naomba niiliweke hili swala sawa mm ni msanii tena Sio underground Afu pia ni mama swala lakukataa Kufanyaa Show ni maslahi Wala Sio kuringa Tangu mme anza kufanya Show sasa ni miaka 5 adi ujauzito wangu wote nipo stejini kama mapromota hiyo tabia yenu yakujifanya aaah”

“Gigy money namuweza kweli mmeniweza sana pia kama Show za M1 nishafanya nchi nzima kama nakula Vizuri Nalala nina furaha sina ulazima wakusononeka kweli maisha ni Magumuu lakini nawapa taharifa Sina Management inayo nipa jeuri wala bwana Angu anihongi hivyo kama mnavyokaa kuongea nachoamini I deserve better my last Show was WASAFI FESTIVAL NA nmelipwa Vizuri.”

LEAVE A REPLY