Gigy Money awapa ushauri wanawake wenzake

0
30

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Gigy Money iKupitia ukurasa wake wa Instagram ameamua kuwashauri wanawake kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii.

Gigy Money anaandika “Wanawake wenzangu mimi chizi ila kuna matahira ushawai angalia kitu ukaon aibu mwenyewe huu ni muda wakupanua akili na sio mapaja.

Pia amesema kuwa Sina kifua am soreeeeeey it’s too shame I can’t even have this mastar sijui wawe marafiki zangu am too local and I don’t think I want to upgrade my self I respect my self First.

Mwisho amemalizia kusema kuwa We need changes mnajipotezea bahati badilikeni mm pia nmepita amna faida mnaonekana machizi chaiiiiii godforbit alafu haya ni mapenzi sio chuki nawapenda sana.

LEAVE A REPLY