Gigy Money adai hamjui Wema Sepetu

0
924

Mwanamuziki wa Bongo Feva, Gigy Money ambae hakosi kuwa na drama kila siku anasema kuwa hamjui mwana dada Wema Sepetu na kwamba yeye ndie msani pekee wa kike ambae anafanya vizuri kwa sasa kuliko msanii mwingine yoyote hapa bongo .

Gigy Money amesema kuwa kutokana na madili anayoyapata sasa hivi yanayomuingizia hela hakuna msanii wa kike wa kumlinganisha nae wa sasa.

Gigy Money amesema kuwa hawajui baadhi ya mastaa hapa Bongo aliekuwa kawaida kwake kutokana na kuwa na tabia ya kusema hivyo mara kwa mara kwa baadhi ya mastaa wakubwa.

Gigy Money  ambae baada ya kujifungua alianza kufanya kazi na kusaini mikataba mbalimbali  ya kumuingizia pesa ansema kwa sasa hakuna msanii wa kike bongo anaemfikia.

LEAVE A REPLY