Future ndani ya MTV MAMA Afrika Kusini

0
170
attends 2013 BMI R&B/Hip-Hop Awards at Hammerstein Ballroom on August 22, 2013 in New York City.

Mwnamuziki nyota wa Marekani, Future, ametangazwa kuwa msanii wa nje ya Afrika atakayetumbuiza kwenye tuzo za MTV MAMA, Oktoba 22.

Future ataungana na Alikiba na Diamond na wasanii wengine wa Afrika kwenye orodha ya wale watakaotumbuiza jioni hiyo jijini Johannesburg.

Kupitia ukurasa wa Twitter wa MTV Base wameandika “We are proud to announce that @1future will be joining for the #MTVMAMA2016!!! #FutureMTVMAMA,”.

LEAVE A REPLY