Furaha ya mke wa Ben Pol baada ya kupungua mwili wake

0
32

Mke wa mwanamuziki wa muziki, Ben Pol Anerlisa Muigai ameweka wazi juu ya kupungua mwili wake ilivyogeuka faraja kwa famila yake kutokana na kupungua kwake.

Anerlisa ameeleza kupungua mwili ni ahadi aliyoweka kwa familia yake ikiwa kama kumbukumbu ya mdogo wake aliyefariki aitwaye Tecra Muigai, ambaye alikuwa na mchango mkubwa wa kuhakikisha anamsaidia kupungua mwili.

Kupitia Instagram ameandika “Mimi na famili yangu tunakumiss sana Tecra, kama nilivyokuahidi kuwa nitapunguza uzito mpaka nifike size yako.

Pia ameendelea kwa kuandika Wazazi wakiniangalia wananiona kama wewe ndio upo nasi ila nikiongea sauti tu ndio tunaonekana tofauti” ameandika mrembvo huyo kupitia Instastory yake.

LEAVE A REPLY