Foby atangaza kuacha kuwaandikia nyimbo wasanii

0
71

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Foby ametangaza rasmi kuacha kuandikia wasanii nyimbo mpaka kuwe na mkataba baada ya wasanii wengi kumsumbua akiwemo Hamisa Mobetto.

Fobby amesema kwamba amekuwa akikutana na changamoto nyingi pale alipokuwa akiwaandikia wasanii nyimbo lakini wasanii wameshidwa kumshukuru wala kumthamini baada ya nyimbo hizo kufikia malengo na kupata umaarufu hivyo kwa sasa anaandika nyimbo kwa mikataba na makubaliano maalumu ili kuepusha lawama baina yake na msanii anayemuandikia.

Foby amesema kwamba yeye ni mtu ambaye alimsaidia Hamisa kujua kuimba kwa kuwa wakati anakuja kwake alikuwa hajui kufanya kitu chochote na clip zote ambazo zinaonyesha yeye akimfundisha Hamisa kuimba.

Pia Fobby amesema kwamba amekuwa akikutana na changamoto nyingi pale alipokuwa akiwaandikia wasanii nyimbo lakini wasanii wameshidwa kumshukuru wala kumthamini.

Foby amesema kwamba yeye ni mtu ambaye alimsaidia Hamisa kujua kuimba kwa kuwa wakati anakuja kwake alikuwa hajui kufanya kitu chochote.

LEAVE A REPLY