Fid Q kuachia video ya Fresh remix

0
164

Mwanamuziki wa hip hop Bongo, Fid Q amesema kuwa anatarajia kuachia video ya ngoma yake ‘Fresh Remix’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz.

Fid Q Katika ngoma hiyo ambayo amewashirikisha Diamond na Rayvanny ambayo audio yake ilitoka mwezi wa nane.

“Tumerudi katika mtari bado maisha yanaendelea kama kawaida na hivi ninavyowaambia chupa la Fresh Femix linakuja,”.

Katika hatua nyingine ameongeza kuwa anatambua mashabiki wake wanamdai video ya ngoma ‘Ulimi Mbili’ na kueleza kuwa nayo itatoka lakini itakuwa na kitu kingine cha ziada.

LEAVE A REPLY