Fid Q afunguka sababu ya kuchelewa kuoa

0
173

Msanii wa Muziki wa hip hop nchini Fareed Kubanda maarufu kama Fid Q amefunguka na kuweka wazi sababu iliyomfabya Mpaka akachelewa kuoa.

Fid Q alifunga ndoa na Mpenzi Wake wa siku nyingi nchini ambaye ameshakuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mingi Lakini pia mwanamke ambaye amezaa naye Mtoto.

Ndoa hiyo ilifungwa mwaka jana mwishoni ambapo ilionekana kuhudhuriwa na ndugu wa karibu kwani wasanii hawakuonekana kwenye shughuli.

Lakini akiwa ndani ya ndoa Fid Q amefunguka na kuweza wazi sababu iliyomfanya Mpaka Akawa hajaoa mapema kama ambavyo alikuwa anategemewa.

LEAVE A REPLY