Ferooz afunguka sababu ya kupotea kwenye game ya muziki

0
296

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Ferooz amefunguka na kudai kitu kilichomfanya akae kimya mda mrefu kimziki ni kuingia kwenye biashara ya madini.

Baada ya kupotea kimuziki kwa zaidi ya miaka saba na kutajwa kama miongoni mwa wasanii waliofilisika na kufulia kabisa.

Ferooz amefunfuka kuhusiana na biashara ya madini ilivyo mfilisi na uamuzi wake wa kurusi kwenye muziki mazima.

Mwanamuziki huyo amesema kuwa biashara za madini kwa sasa ameachana nazo sasa hivi ameamua kurudi kwenye mziki kama zamani.

Pia kutokana na ujuzi alioupata kwenye biashara ya madini aliyofanya kwa miaka yote hii Ferooz kafunguka nini hasa ilikuwa sababu ya kupoteza pesa zote alizozipata kipindi anaimba madini:

Pia amesema kuwa Unajua kila biashara ina experience zake sasa mimi kwa kuwa nilikuwa nimeshazea kifanya muziki nikaingia tu bilakujua lolote na kuna vitu vingi sikuvijua nikaja kujikuta vitu vimeenda vibaya mwisho wa siku nikajikuta nimepoteza pesa nyingi basi mwishoni ndio nimeamua nirudi kwenye muziki.

LEAVE A REPLY