Fayma amchana shabiki yake

0
64

Mzazi mwenzie na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvanny aitwae Fayma amerejea kwenye ubora wake wa kufanya kazi baada ya kuachana na Rayvanny.

Fayvanny amesema kwamba hataki dharau baada ya kumjibu kwa ukorofi wakati watu walishamzoea kuwa ni mtu mpole na wala alikuwa hajibu kwa hasira.

Fayma ameposti picha matata kwenye ukurasa wake wa IG ambapo mmoja wa wafuasi wake alimwambia; “Subiri Ray aje akufanyie madharau na mwanamke mwingine coz amekujua wewe huna pa kwenda, siwezi kutamani kuwa na tabia kama yako hata nikaongezwa na pesa juu siwezi kuwa kama wewe, umeshawahi kujua unafanana na mjusi eti unajiita Fahyvanny.

Hapo ndipo Fayma alipotibuka na kuweka upole pembeni kisha kumjibu; “Jidanganye hivyohivyo my friend, makasiriko ni mengi mno jamani, kuachwa niachwe miye, tabu upate wewe”

LEAVE A REPLY