Faiza afunguka sababu kudanga

0
112

Muigizaji wa Bongo Movie ambaye pia ni mfanyabiashara, Faiza Ally amefunguka na kusema kuwa na kuweka wazi kuwa ameshawahi kudanga.

Faiza Ally ameeleza kuwa kudanga kwake siyo ishu kwani kama mtu anafanya hivyo kwa kufanya kitu cha maana siyo tatizo kama atatumia kama njia ya kufanya mambo ya maana.

 Faiza amesema kama ni kudanga amedanga, lakini alifanya hivyo kwa malengo fulani kwa sababu hakuna anayependa kudanga katika jamii ila shida zake ndiyo zilisababisha kufanya hivyo.

Pia amesema kuwa alipotatua shida zake kwa sasa amekuwa shujaa na anayejitokeza na kumcheka hajitambui.

Faiza kwasasa amejikita kwenye biashara zake ikiwemo tenda ya kuagizia wateja bidhaa kutoka nchini China kuja Tanzania.

 

LEAVE A REPLY